Leviticus 14:10

10 a“Siku ya nane, ni lazima alete kondoo dume wawili na kondoo jike mmoja, wote wa mwaka mmoja na wasio na dosari, pamoja na sehemu tatu za kumi za efa
Sehemu tatu za kumi za efa ni sawa na kilo 3.
za unga laini uliochanganywa na mafuta, kwa ajili ya sadaka ya nafaka, na logi moja
Logi ni kipimo cha ujazo ambacho ni sawa na lita 0.3.
ya mafuta.
Copyright information for SwhKC